BUSINESS OPERATING SYSTEM SMART
Endesha biashara yako yote kwa mfumo mmoja
Mauzo, stock, matumizi, madeni na ripoti — kwa duka, jumla, kampuni, logistics na freight forwarding. Kila kitu mahali pamoja, kutoka simu au kompyuta.
Imejengwa kwa rejareja & biashara
- Jaribu bure siku 7
- Inafanya kazi offline
- Android · iPhone · Desktop
Pata BOSS
Chagua platform yako uanze leo.
Button haijaanza download? Pakua HarmonyOS APK hapa
Huduma za BOSS App
Kila kitu biashara yako inahitaji, mahali pamoja
Mauzo, stock, wateja, ripoti na mawasiliano ya WhatsApp — mfumo mmoja badala ya madaftari na app tofauti tofauti.
Usimamizi wa Mauzo
Rekodi kila mauzo papo hapo — cash, madeni au malipo ya awamu. Risiti za kuchapisha, punguzo, kurudisha bidhaa na hesabu ya kufunga siku. Inafanya kazi hata bila intaneti.
Usimamizi wa Stock
Jua kilichopo na kilichoisha kwa wakati halisi. Scan barcode/QR, bei za kununua na kuuza, tahadhari ya stock kuisha, tarehe za mwisho wa matumizi na stock take.
Usimamizi wa Wateja
Wateja wako, historia ya manunuzi na madeni yao mahali pamoja. Fuatilia orders, kumbusha malipo na jua nani ananunua zaidi.
Ripoti na Uchambuzi
Faida halisi, mauzo kwa siku au mwezi, bidhaa zinazouzwa zaidi, matumizi na hali ya biashara — ripoti tayari kuchapishwa au kutuma kama PDF/CSV.
WhatsApp Business Automation
Unganisha akaunti yako ya WhatsApp Business: jibu wateja, tuma taarifa zilizoidhinishwa (risiti, order, kumbusho la malipo) na rahisisha huduma kwa wateja — moja kwa moja kutoka BOSS.
Kwa kila biashara
Mfumo mmoja, huduma kwa kila biashara
BOSS si ya duka la rejareja tu — inabeba jumla, makampuni, logistics na freight forwarding, zote kwenye app moja.
Rejareja na Biashara
Endesha duka lako lote: mauzo ya haraka (POS), stock na barcode/QR scan, madeni ya wateja na ripoti za faida papo hapo.
Jumla na Usambazaji
Kwa wauzaji wa jumla na wasambazaji: mauzo ya jumla, mtandao wa agents na mkeka (shared stock) — udhibiti kamili wa mzunguko wa bidhaa.
Huduma za Makampuni
Kwa makampuni: departments zilizopangwa, staff na majukumu (roles), matawi mengi na ripoti za uongozi — B2B suite kamili.
Freight Forwarding (C&F)
Clearing & forwarding kamili: TRA/TANCIS na bandari (TPA), import, export na transit — fuatilia kila shipment hatua kwa hatua.
Usimamizi wa Usafirishaji
Simamia usafirishaji: magari (fleet), shipments, customer portal na ripoti za operesheni — zote mahali pamoja.
Wajasiriamali na Biashara Ndogo
Ndiyo kwanza unaanza? Anza bure kwa siku 7 — rekodi mauzo na matumizi kwa simu yako, hata bila intaneti.
Sekta
Imejengwa kwa kila sekta
Platform moja, uwezekano usio na kikomo — BOSS inajibadilisha kulingana na mahitaji ya sekta yako.
Vifaa
Tumia BOSS popote
Akaunti moja, kila kifaa — data yako iko salama na inapatikana kila mahali.
Anza kuendesha biashara yako na BOSS leo
Pakua app kwa Android au tumia Web App kwenye iPhone na kompyuta — akaunti moja, kila mahali.