Taarifa kwa urahisi
Pata huduma na campaign unazohitaji kwa haraka kwenye simu au kompyuta.
Biashara. Mauzo. Fursa.
BOSS inasaidia wafanyabiashara kusimamia biashara, kampuni kuongeza mauzo kupitia mawakala, na watu kupata kipato kupitia campaign zenye commission.
BOSS ni kwa nani?
Kila kundi lina ukurasa wake, huduma zake na hatua ya kuanzia — si lazima upakue app ili ujue BOSS inakufaa vipi.
Kwa wafanyabiashara
Mauzo, stock, madeni, matumizi, wafanyakazi na ripoti — hata mtandao ukikatika.
Angalia mfumo wa biashara → 02Kwa kampuni
Tengeneza campaign, sambaza kazi, fuatilia lead na lipa commission kwa matokeo yaliyothibitishwa.
Angalia huduma za kampuni → 03Kwa mawakala
Chagua campaign, elewa masharti, tuma lead na ufuatilie commission yako ndani ya mfumo.
Jifunze kuwa agent →Campaign zinazoendelea
Campaign hizi zinatoka moja kwa moja kwenye mfumo wa BOSS.
Inatafuta campaign zinazopatikana sasa...
Mfumo unaoendelea nawe
Website inakupa taarifa na campaign bila kupakua chochote. Ukiwa tayari kusimamia biashara, campaign au lead zako, ingia kwenye Web App au pakua Android App.
Pata huduma na campaign unazohitaji kwa haraka kwenye simu au kompyuta.
Data, dashboard na shughuli zako ziko kwenye sehemu salama ya app.
Mfanyabiashara, kampuni na agent kila mmoja ana mlango wake.
Chagua huduma inayokufaa, ona campaign zilizopo au ingia moja kwa moja kwenye mfumo.