Mauzo na risiti
Uza kwa kuscan au kuchagua bidhaa, chapisha risiti, na kila mauzo yaingie kwenye ripoti papo hapo.
Kwa mfanyabiashara
Mauzo, stock, madeni, matumizi na ripoti — vyote sehemu moja, vinafanya kazi hata mtandao ukikatika.
Mfumo wa biashara
Siyo app ya mauzo peke yake — ni mfumo unaoshika biashara nzima kuanzia bidhaa hadi faida.
Uza kwa kuscan au kuchagua bidhaa, chapisha risiti, na kila mauzo yaingie kwenye ripoti papo hapo.
Stock inajipunguza kwa kila mauzo; unajua kilichobaki na kilichoisha bila kuhesabu kwa kukisia.
Uza kwa mkopo, rekodi malipo ya awamu, na ujue nani anadaiwa nini bila daftari.
Kodi, usafiri na mishahara vinaingia kwenye hesabu ya faida, siyo kubaki kichwani.
Kila mfanyakazi ana akaunti na ruhusa zake. Unaona nani aliuza nini na lini.
Ona faida ya siku, bidhaa zinazouzwa zaidi, madeni na matumizi; pakua ripoti wakati wowote.
Kuanza
Hakuna usakinishaji mgumu wala mafunzo ya wiki nzima. Biashara nyingi zinaanza kuuza siku hiyo hiyo.
Tunahitaji jina la biashara, simu na aina ya biashara.
Weka bidhaa, bei ya kununua na bei ya kuuza mara moja.
Mauzo yanaendelea hata mtandao ukikatika na yanasawazishwa ukirudi online.
Mwisho wa siku ona mauzo, faida, madeni na stock bila kupiga hesabu.
Una bidhaa nyingi? Timu ya BOSS inaweza kukusaidia kuziingiza mara ya kwanza.
Hatua inayofuata
Jaza fomu hii fupi. Hakuna malipo yanayohitajika hapa — ni mwanzo wa mazungumzo tu.
Tumia BOSS kwenye Android, iPhone au kompyuta. Akaunti moja, taarifa zako zote.