Hakuna ada wala mtaji
Hulipi kujiunga na hununui mzigo. Mtandao wako wa watu ndio mali yako.
Kwa BOSS Agent
Chagua huduma unazoweza kuuza, tuma lead, fuatilia hatua yake — na ulipwe kila mauzo yanapokamilika.
Fursa zilizopo
Kabla hujaanza, unaona huduma, maeneo, lead inayokubalika na kiasi utakachopata mauzo yakikamilika.
Campaign board
Bima, intaneti, solar, mikopo na huduma nyingine huwekwa kwenye board moja. Hakuna masharti yanayofichwa.
Jinsi unavyolipwa
Huhitaji kubeba bidhaa. Unahitaji kumfahamu mtu anayehitaji huduma na kutuma taarifa zake kwa usahihi.
Jaza fomu fupi. Hakuna ada na hakuna mzigo wa kununua.
Ona commission na masharti ya malipo kabla hujaanza.
Taarifa za mteja zinapata namba na tarehe ya kumbukumbu.
Kampuni ikithibitisha mauzo, unalipwa kiwango kilichotangazwa.
Lead ikikataliwa, unaonyeshwa sababu ili inayofuata iwe bora.
Kwa nini BOSS Agent
Kama kazi au maisha yako yanakutanisha na watu — duka, bodaboda, ofisi au marafiki — tayari una kitu cha thamani.
Hulipi kujiunga na hununui mzigo. Mtandao wako wa watu ndio mali yako.
Commission na wakati wa malipo vinaonekana kabla hujaanza kuuza.
Lead yako ina namba na tarehe. Hakuna kubishana nani alileta mteja.
Siyo ajira. Unatuma lead unapokutana na mtu anayehitaji huduma.
Bima leo, intaneti kesho. Chagua campaign inayolingana na watu unaowajua.
Wateja wanaoingia dukani kila siku wanaweza kuwa mtandao wako wa kwanza.
Hatua inayofuata
Jaza fomu hii fupi. Hakuna malipo ya kujiunga — tutakupigia na kueleza hatua inayofuata.
Campaign board inaonyesha commission na masharti kabla hujaingia.